Google PlusRSS FeedEmail

WAJUMBE WA TUME YA KATIBA WAANZA TATHIMINI YA KAZI YA UKUSANYAJI MAONI

WajumbewaSekretarietiyaTumeyaMabadilikoyaKatiba, MwantumuMalale (kulia), Maria Kashonda (aliyekaa), RizikiNgwali (wapilikulia), Joseph Butiku (watatukulia) naYahyaMsulwa watatukushoto) wakitazama namna sauti zenye maoni ya wananchi zinavyopokelewa katika Makao Makuu ya Tume Jijini Dar es Salaam kutoka katika mikutano inayoitishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika Mikoa mbalimbali nchini wakati waziara ya wajumbe hao leo jumatano tarehe 3. Oktoba, 2012. Kushotoni Mjumbe wa Sekretarieti yaTumehiyo, Hanifa Masaningana (wapilikushoto) ni KatibuwaTume, Assaa Rashid.

This entry was posted in

Leave a Reply