Google PlusRSS FeedEmail

VIJANA HAWA WANAHITAJI KUSAIDIWA...

Vijana wanaofanya biashara kwenye barabara kuu kama ionekanavyo hapo pichani kwenye bara bara ya Mandela, wanahitaji kusaidiwa kwa mambo mengi maana matendo wanayofanya kwa sasa ni hatari kwao na kwa watumiaji wengine wa barabara hizo, ni vyema mamlaka husika wangewapa elimu ya usalama barabarani na pia suala zima la mazingira,hii pia ni hatari kwa watumiaji wengine wa barabara,

This entry was posted in

Leave a Reply