Google PlusRSS FeedEmail

UTEKELEZAJI WA ILANI YA C C M

Uboreshaji wa hali ya usafiri katika jiji la Dar es Salaam, ni miongoni mwa mambo ambayo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeyavalia njuga kuhakikisha yanakuwa  bora  kama moja ya kuwapatia fursa wananchi kujiletea maendeleo kiuchumi na kijamii. Pichani, ni ujenzi unaoendelea katika barabara ya Morogoro, kuongeza njia kwenye barabara hiyo kwa ajili ya magari ya kawaida na mabasi ya haraka. PICHA NA BASHIR NKOROMO

This entry was posted in

Leave a Reply