Google PlusRSS FeedEmail

SHIRIKA LA POSTA NA HADHI YA KIMATAIFA

Pichani, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya SHIRIKA la Posta Tanzania, Dr. Yamungu Kayandabila (katikati) na Postamasta Mkuu Bw. Deos Mndeme (kushoto) wakipokea cheti maalum kuashiria kufikia viwango vya utoaji wa huduma bora za kimataifa za Posta. Anayekabidhi cheti ni Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Posta Duniani Bw. Eduard Dayan.

This entry was posted in

Leave a Reply