Google PlusRSS FeedEmail

SERIKALI YAWASIMAMISHA KAZI MKURUGENZI MKUU WA MSD NA MKUU WA KITENGO CHA UDHIBITI UBORA ILI KUPISHA UCHUNGUZI KUFUATIA KURUHUSU KUSAMBAZWA KWA DAWA BANDIA ZA KUPUNGUZA MAKALI YA UKIMWI AINA YA TT-VIR 30.

   
Makopo ya dawa za kupunguza makali ya Ukimwi yakitofautiana vifungashio. Kopo la kwanza kushoto linaonyesha dawa halisi  ya kupunguza makali ya Ukimwi iliyokidhi viwango ikifuatiwa na makopo 3 yenye dawa bandia ya kupunguza makali ya Ukimwi yenye jina la biashara TT –VR 30 toleo namba 0c.01.85  yaliyotengenezwa na kiwanda cha Tanzania Pharmaceutical Industries Ltd. Picha na Aron Msigwa – MAELEZO.


Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hussein Mwinyi akitoa ufafanuzi  kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu hatua zilizochukuliwa na Serikali kufuatia kubainika kwa matumizi ya dawa bandia za kupunguza makali ya Ukimwi zenye jina la Biashara TT –VIR 30.

This entry was posted in

Leave a Reply