KINANA :MIGOGORO YA ARDHI KITETO ITATULIWE SASA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi wa Kiteto mjini kwenye uwanja wa mpira wa Kibaya na kuwaambia kuwa wilaya h... [Read More]
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akihutubia mamia ya wananchi kwenye Uwanja wa Kwaraa mjini Babati, leo
Kinana akiwapungia mkono wananchi kwenye Uwanja wa Kwaraa, kuhutrubia mkutano wa hadhara . Kulia ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.
Bodaboda zikitoka Ofisi ya CCM wilaya ya Babati kuongoza msafara kwenda uwanjani. Picha zote na Bashir Nkoromo-CCM Blog
KINANA AMALIZA ZIARA WILAYANI BABATI KWA MKUFANYA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA, KESHIO KUANZA KITETO
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi kwenye Uwanja wa Kwaraa mjini Babati, leo Katibu wa NEC, Itikadi na Uen... [Read More]
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimtwisha ndoo ya Maji mkazi wa Kijiji cha Himiti Kata ya Bonga, wilaya ya Babati mjini, Zena Rashid, bada ya kuzindua mradi wa maji wa kata hiyo leo akiwa katika katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kuzitatua katika wilaya hiyo ya Babati mjini mkoani Manyara. Kushoto ni Mbunge wa Hanag, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezsshaji, Dk. Mary Nagu.
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana (kushoto), akisalimia watumishi wa hospitali ya wilaya ya Babati, alipofika kwenye hospitali hiyo leo, akiwa katika ziara hiyo ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi mkoani Manyara.
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akipata maelezo kuhusu huduma za maabara katika hospitali hiyo ya wilaya ya Babati.
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akishiriki ujenzi wa zahanati ya Malangi kata ya Maisaka, Babati Mjini leo
6. Nape akipanda mti Zahanati ya Malagi
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akikagua bweni alipotembelea shule ya sekondari ya Frederick Sumaye, Kata ya Singe, Babati mjini leo
Kinana akikagua ujenzi wa ujenzi wa ukumbi kwenye shule hiyo leo
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akilakiwa kwa ngoma kuanza ziara ya siku moja katika wilaya ya Babati mjini leo. Picha zote na Bashir Nkoromo-CCM Blog
KINANA AINGIA BABATI MJINI LEO, KUUNGUMA UWANJA WA KWARAA JIONI HII
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimtwisha ndoo ya Maji mkazi wa Kijiji cha Himiti Kata ya Bonga, wilaya ya Babati mjini, Zena Rashi... [Read More]
KINANA : VIONGOZI WA VIJIJI WAACHE KUUZA ARDHI BILA KUWASHIRIKISHA WANAKIJIJI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na wamasai katika kijiji cha Ayamango (Gallapo) ambapo alikuwa na kazi ya kufungu... [Read More]
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwa amezungukwa na wakazi wa Kata ya Magara wilayani Babati Vijijini waliojitokeza kwa wingi kuwapokea mara baada ya kuwasili wilayani hapo .
Wananchi wa Kata ya Magara wakiwa na nyuso za furaha wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye ameongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wananchi wa kata ya Magara kabla ya kukagua mradi wa ujenzi wa wodi ya kituo cha afya cha Mama na Mtoto.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini Ndugu Vrajilal JituSon mara baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa wodi ya kituo cha afya cha mama na mtoto.Katibu Mkuu wa CCM yupo ziarani katika mkoa wa Manyara ambapo atafanya shughuli za kimaendeleo ikiwemo kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kukagua uhai wa chama.
Wananchi wa Kijiji cha Magara wakionyesha bango la kuomba msaada wa kusaidiwa kujengwa kwa daraja katika mto Mangara.
Mto Magara ambao wananchi wanaomba daraja lijengwe.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akihutubia wakazi wa kata ya Magugu ambapo aliwapa usia vijana wenzake kwa kuwaambia Vijana wachape kazi na waachane na talalila za wanasiasa njaa.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Magugu na kuwaambia viongozi wengi wa vijiji wamekuwa wakiingia mikataba bila kuwashirikisha wananchi hivyo kusababisha migogoro mikubwa ya ardhi na amewataka wananchi kuchagua viongozi makini,Katibu Mkuu wa CCM ameshtushwa na baadhi ya watu kumiliki sehemu kubwa ya ardhi na kuwakodishia wananchi kwa ajili ya kilimo cha mpunga.
KINANA AWASILI WILAYA YA BABATI VIJIJINI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini Ndugu Vrajilal JituSon mara baada ya kuwasili ... [Read More]
KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYA YA MBULU KWA MAFANIKIO KUHUTUBIA BABATI LEO JIONI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Mbulu na kuwataka kutumia muda mwingi kwenye shughuli za kimaendeleo ... [Read More]