Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi mjini Endasaki, Hanang, jana, Mei 27, 2014, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi na njia sahihi ya kutatua kero hizo mkoani Manyara
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wakiongozana na Vijana wa Kibarbeig kuingia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Ofisi ya CCM Kateshi, jana, Mei 28, 2014.
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Viwanja vya Ofisi ya CCM Katesh, mkoani Manyara
Kinana akihutubia kwenye mkutano huo wa Katesh
Mbunge wa Hanang, Mary Nagu akihutubia kueleza utekelezaji wa ilani ya CCM jimboni mwake kwenye mkutano huo wa Katesh
Wananchi wakiwa kwenye mkutano huo
Mkuu wa Wilaya ya Hanang Christina Mndeme akisalimia wananchi kwenye mkutano huo wa Katesh
Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye na Mbunge wa Hanang Dk. Mary Nagu wakijadili jambo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika Katesh mkoani Manyara, Mei 27, 2014. Sumaye amewahi pia kuwa mbunge wa Hanang.
Kinana akikabidhi vifaa vya michezo kwa timu ya Igembesabo iliyoibuka bingwa katika michuano ya Vijana wa jimbo la Hanang, wakati wa mkutano wa Katesh
Kinana na Nagu wakikabidhi mizinga ya nyuki kwa vikundi vya vijana Katesh
Mwanachama wa Chadema akirudisha kadi yake kwa Kinana alipoamua kuhamia CCM kwenye mkutano wa Katesh
Kinana akipiga mpira wakati Nagu akisubiri kuudaka, wakati wa ufunguzi mashindano ya vijana Endasaki
Kinana na Sumaye wakishiriki ujenzi Ofisi ya CCM tawi la Qaroda, Hanang. Picha zote naBashir Nkoromo, CCM Blog
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
-
▼
2014
(556)
-
▼
May
(83)
- WANANCHI WA KIJIJI CHA KIMOTORO WAKIMUOMBA KINANA ...
- KINANA :MIGOGORO YA ARDHI KITETO ITATULIWE SASA
- KINANA AMALIZA ZIARA WILAYANI BABATI KWA MKUFANYA ...
- KINANA AINGIA BABATI MJINI LEO, KUUNGUMA UWANJA WA...
- NAPE ALIPOHUTUBIA MBULU (VIDEO)
- KINANA : VIONGOZI WA VIJIJI WAACHE KUUZA ARDHI BIL...
- KINANA AWASILI WILAYA YA BABATI VIJIJINI
- KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYA YA MBULU KWA MAFA...
- KINANA ATINGISHA ENDASAK NA KATESH WIYALANI HANANG
- MWENYEKITI WA CHADEMA WILAYA YA HANANG AJIKAANGA M...
- KINANA AANZA ZIARA MKOA WA MANYARA, AKUTANA NA SUM...
- KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI SINGIDA KWA KUZUR...
- CCM YATINGISHA SINGIDA MJINI, MAMIA WAHUDHURIA MKU...
- MAANDALIZI YA MKUTANO WA CCM YAPAMBA MOTO SINGIDA ...
- CCM KURINDIMA LEO MJINI SINGIDA CHINI YA KINANA
- KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYA YA MKALAMA KESHO ...
- KINANA: CHAMA KINA WAJIBU WA KUHAKIKISHA KINATIMIZ...
- URUSI NA CHINA ZA KWAMISHA AZIMIO LA KUIPELEKA SYR...
- UJUMBE KUTOKA CHAMA CHA NRA WATEMBELEA MAKAO MAKUU...
- KINANA AZIDI KUCHANJA MBUGA SINGIDA, LEO AFUNGA K...
- WORLD BANK VICE PRESIDENT FOR AFRICA OP-ED ON HIGH...
- KINANA APIGA KAZI JIMBONI KWA TUNDULISU, WANANCHI ...
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA KATIBU MKUU K...
- KINANA ALIPOHUTUBIA TABORA MJINI (VIDEO)
- KINANA AFANYA MAKUBWA KIBAO MANYONI, AZINDUA NYUMB...
- KINANA ATINGA WILAYA YA MANYONI KUANZA ZIARA YA SI...
- KINANA AKIHUTUBIA TABORA
- KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI TABORA KWA KISHIN...
- CCM KUUTEKA MJI WA TABORA LEO, KINANA KUUNGURUMA V...
- RAIS IKWETE AONGOZA MAZISHI YA PRIVATE BRIAN SALVA...
- MREMA SASA AOMBA POLISI KUPEWA ASILIMIA KUMI MALI ...
- RIDHIWANI NA MGIMWA WAPEWA PONGEZI
- KINANA: VIJANA WASHIRIKISHWE KWENYE MIRADI YA UJEN...
- KINANA AWASILI KALIUA
- KINANA ALIVYOITEKA URAMBO, ATAWAZWA KUWA CHIFU WA ...
- KINANA AMALIZA ZIARA YAKE URAMBO KWA KUHUTUBIA MKU...
- PEOPLE WITH ALBINISM:PILLAY URGES MORE PROTECTION ...
- KINANA ATINGA URAMBO KUFANYA ZIARA YA SIKU MOJA
- KINANA AMALIZA ZIARA SIKONGE KWA KUHUZUNISHWA NA V...
- KINANA ACHANJA MBUNGA HADI WILAYANI SIKONGE LEO, A...
- WAKULIMA WA TUMBAKU WAITAKA SERIKALI KUSIKIA KILIO...
- KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYA YA UYUI
- RAIS KIKWETE AKUTANA NA MKUU WA SHIRIKA NA UNDP LEO
- KINANA ATEMBELEA MIRADI YA UJENZI WILAYA YA UYUI
- KINANA ALIVYOPIGA KAZI WILAYA YA UYUI MKOANI TABOR...
- RAIS KIKWETE ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA B...
- KINANA AKIHUTUBIA NZEGA MJINI (VIDEO CLIP)
- KINANA AMALIZA ZIARA WILAYA YA NZEGA NA KUFANYA MK...
- ZIARA YA KINANA ITOBO WILAYANI NZEGA
- WAZIRI NYALANDU AKABIDHIWA MAGARI YA KUSAIDIA KAMP...
- DISCUSSION ON EU-TANZANIA TRANSFER AGREEMENT WHICH...
- KINANA AHUTUBIA MIKUTANO MIWILI MIKUBWA WILAYA YA ...
- KINANA AWASILI NZEGA
- KINANA AWATEMBELEA WAFANYA BIASHARA SOKONI IGUNGA
- NAPE NNAUYE AENDELEA KUWATETEA WAKULIMA WA PAMBA I...
- KINANA : VIONGOZI WAJIFUNZE KUTOKA KWA WANANCHI
- KINANA AKAGUA UJENZI DARAJA LA MBUTU, IGUNGA MKOAN...
- KINANA AANZA ZIARA YA SIKU 10 MKOA WA TABORA
- RAIS KIKWETE ATEUA KAMISHNA MPYA TRA
- PRESIDENT KIKWETE MEETS WITH BHARTI AIRTEL CEO IN ...
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA...
- PRESIDENT KIKWETE MEETS WITH MARK SUZMAN OF THE GA...
- MULT CHOICE TANZANIA(DSTV) WAZINDUA KING'AMUZI KIP...
- PRESIDENT KIKWETE MEETS FORMER BRITISH PM GORDON B...
- KINANA KUANZA ZIARA YA SIKU 26 TABORA, SINGIDA NA ...
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MAZUN...
- MAGARI ZAIDI YA MIA YAKWAMA ENEO LA MANZESE BARABA...
- BUNGE LA BAJETI LAANZA LEO
- WATANZANIA SITA WALIOPATA KAZI DUBAI KUPITIA BRAVO...
- DK. MOHAMED SEIF KHATIB ALIPOHUTUBIA KIBANDA MAITI...
- MAMLAKA YA HALI YA HEWA YAKANUSHA TAARIFA INAYOZAG...
- BI. ASHA BAKARI MAKAME ALIPOHUTUBIA WANANCHI WA PE...
- MICHUZI BLOG YABUNI HUDUMA MPYA
- NAPE: VIJANA KUWASHUGHULIKIA WANAOBEZA WAASISI WA ...
- MAELFU WAFURIKA MKUTANO WA CCM VIWANJA VYA KIBANDA...
- MVUA YASABABISHA NDEGE ALIYOPANDA KINANA KUCHELEWA...
- NAPE NNAUYE ALIPOHUTUBIA GOMBANI YA KALE PEMBA (VI...
- KINANA ATOA SOMO PEMBA
- KINANA AWASILI PEMBA
- TANZANIA YATAKA MATUMIZI SALAMA YA NYUKILIA YASIZUIWE
- MWENDELEZO WA PASAKA;MWANAMUZIKI REBECCA MALOPE KU...
- GESI KUPEWA KIPAUMBELE BAJETI YA 2014/15
- SHEREHE ZA MEI MOSI MWANZA ZAFANA
-
▼
May
(83)
LOVE LINKS
Powered by Blogger.