Google PlusRSS FeedEmail

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MAZUNGUMZO BAINA YA VIONGOZI WA DINI MBALIMBALI NA WANASIASA KUHUSU UJENZI WA DEMOKRASIA, MAENDELEO UIMARISHWAJI WA AMANI, JIJINI DAR ES SALAAM.


  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano wa siku mbili wa Mazungumzo baina ya Viongozi wa Dini mbalimbali na Wanasiasa kuhusu ujenzi wa Demokrasia, Maendeleo na uimarishwaji wa Amani ulioshirikisha nchi za Afrika na kufanyika kwenye Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam, leo Mei 6, 2014. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Kadhi Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Khamis haji, na baadhi ya viongozi wa dini wakati alipowasili kwenye Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam, leo Meo 6, 2014 kwa ajili ya kufungua rasmi Mkutano wa siku mbili wa Mazungumzo baina ya Viongozi wa Dini mbalimbali na Wanasiasa kuhusu ujenzi wa Demokrasia, Maendeleo na uimarishwaji wa Amani ulioshirikisha nchi za Afrika jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki dua ya pamoja na baadhi ya viongozi wa dini, kutoka (kushoto) ni Katibu Mkuu wa BAKWATA, Sheikh Suleiman Loila, Askofu Dkt. Alex Malasusa na (kulia) ni Sheikh Khamis haji, wakati wa ufunguzi rasmi wa Mkutano wa siku mbili wa Mazungumzo baina ya Viongozi wa Dini mbalimbali na Wanasiasa kuhusu ujenzi wa Demokrasia, Maendeleo na uimarishwaji wa Amani ulioshirikisha nchi za Afrika uliofanyika kwenye Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam, leo Mei 6, 2014. Picha na OMR

Baadhi ya wadau wa mkutano huo waliohudhuria, kutoka (kushoto) ni Wilfred Mlay, Dkt. Willibrod Slaa, Hellen Kijo-Bisimba na wengineo wakishiriki dua ya pamoja.

This entry was posted in

Leave a Reply