Google PlusRSS FeedEmail

KINANA ALIVYOPIGA KAZI WILAYA YA UYUI MKOANI TABORA, MAMIA WAHUDHURIA MIKUTANO YAKE YA HADHARA

 Mamia ya wananchi wakimshangilia Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipohutubia mkutano wa habdhara leo Mei 12, 2014, katika kijiji cha Kizengi, Wilayani Uyui akiwa katika ziara yake ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia ya uzitatua katika mkoa wa Tabora.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia mamia ya wananchikatika mkutano wa hadhara leo Mei 12, 2014, katika kijiji cha Kizengi, Wilayani Uyui Nape hupo katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Kinana ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia ya uzitatua katika mkoa wa Tabora.
Mwananchi mwenye hamasa akishangilia wakati wa mkutano huo wa hadhara uliohutubia na Katibu Mkuu wa CCM Kinana katika kijiji cha Kizengi. PICHA ZAIDI>BOFYA HAPA

This entry was posted in

Leave a Reply