Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndugu Mwigulu Nchemba akizungumza na ugeni kutoka chama rafiki cha National Resistance Army cha Uganda waliofika Kujifunza Mambo mbalimbali ya Kiuongozi na Kiutendaji ndani ya Chama cha Mapinduzi.
Naibu Katibu Mkuu CCM-Bara Ndugu Mwigulu nchemba akimkabidhi Kitabu cha Mwongozo cha Chama cha Mapinduzi Kiongozi wa Serikali ya Uganda(NRA).