Mbunge wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Wabunge Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu akitoa maelezo kabla ya Naibu waziri wa Wizara ya kazi na Ajira, Mbunge wa Segerea, Dk.Makongoro Mahanga, kukabidhi tiketi kwa Watanzania Sita (6) waliopata kazi Dubai kupitia Kampuni ya Bravo Job Centre, jijini Dar es Salaam, jana
Naibu waziri wa Wizara ya kazi na ajira na Mbunge wa Segerea Makongoro Mahanga akiongea na wananchi waliofanikiwa kupata kazi Dubai kupitia kampuni ya Bravojobc Dar es Salaam jana ,kabla ya kuwakabidhi Tiketi hizo,ambao wikiwa wavulana wanne na wasichana wawii na mmoja anatarajiwa kuondoka Aprli 5 mwaka huu
Naibu waziri wa Wizara ya kazi na ajira na Mbunge wa Segerea Makongoro Mahanga akimkabidhi Tiketi mmoja wa mwananchi aliye fanikiwa kupata kazi Dubai kupitia kampuni ya Bravojobc Dar es Salaam jana
Naibu waziri wa Wizara ya kazi na ajira na Mbunge wa Segerea Makongoro Mahanga akimkabidhi Tiketi Mwajuma Hamisi Kweli, mmoja wa mwananchi aliye fanikiwa kupata kazi Dubai kupitia kampuni ya Bravojobc Dar es Salaamn jana
Naibu waziri wa Wizara ya kazi na ajira na Mbunge wa Segerea Makongoro Mahanga akimkabidhi Dominatha Alex, Tiketi mmoja wa mwananchi aliye fanikiwa kupata kazi Dubai kupitia kampuni ya Bravojob Dar es Salaam
Mbunge wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Wabunge Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu na Naibu waziri wa Wizara ya kazi na ajira na Mbunge wa Segerea Makongoro Mahanga katika picha ya pamoja na wananchi hao kuwakabidhi tiketi
Picha ya pamoja na wafanyakazi wa Bravojobc na wananchi na wazazi wao. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa Ujiji Rahaa Blog