Wageni waalikwa na wateja wa DSTV wakibadilishana mawazo ndani ya ukumbi wa Southern Sun Hotel jana kwenye uzinduzi wa king'amuzi kipya aina ya Explorer
Edo Kumwembe akiuliza jambo kwa Meneja mahusiano wa DSTV Barouba Kambogi wa nne kutoka kushoto jana kwenye Hotel ya Southern Sun
Wateja na wadau wa DSTV wakiwa wanabadilishana mawazo kuhusu huduma mpya iliyoanzishwa na DSTV ya king'amuzi kipya aina ya Explorer
Wa pili kutoka kushoto ni Meneje wa uendeshaji DSTV Bwana Ronald Shelukindo na Meneja mahusiano Barba Kambogi wakifuatilia maelekezo kutoka kwenye screen kubwa(haipo pichani)kuhusu mapinduzi yaliyofanya toka miaka ya 1950 mpaka leo kwenye teknolojia ya urushaji wa matangazo.
Meneja uendeshaji mwenye shati ya kaki Ronald Shelukindo akifurahia jambo na Meneja uhusiano DSTV Barba Kambogi kwenye uzinduzi wa king'amuzi kipya aina ya explorer
Meneja mahusiano wa DSTV Barba Kambogi akifafanua jambo kwa wateja wa DSTV jana
Wateja wa DSTV wakifuatilia kwa umakini mkubwa uzinduzi wa king'amuzi kipya aina ya explorer
Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akifafanua utofauti wa king'amuzi hicho kipya na kile cha zamani jana Kwenye Hotel ya Southern Sun
Wanahabari wakichukua matukio kwa umakini kabisa
Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akionyesha jinsi king'amuzi kipya aina ya explorer kinavyoweza kurekodi matukio tofauti na kuweza kuyaangalia baadae
Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akionyesha jinsi king'amuzi kipya aina ya explorer kinavyoweza kurekodi matukio tofauti na kuweza kuyaangalia baadae
Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akionyesha jinsi king'amuzi kipya aina ya explorer kinavyoweza kufanya kazi kwa kuchagua channeli tofauti na kuzirekodi na baade unaweza kuangalia ulichokuwa umepitwa haujakiona.
Edo Kumwembe akiuliza Swali ili aweze kujua namna jinsi king'amuzi hicho kinaweza kufanya kazi
Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akisoma jina la mshindi wa droo ya kulipiwa mwezi mmoja bure wa kuangalia vipindi vya DSTV
Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akimkabidhi vocha mshindi wa droo ya kulipiwa mwezi mmoja bure Bi Vicky Kimaro
Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akichanganya majina ya washiriki wa droo ya kujishindia seti ya DSTV
Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo na meneja Mahusiano Barba Kambogi wakimkabidhi mshindi wa droo ya set ya DSTV ungo,decoda na vifaa vyote vya kuunganishwa
Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo na Meneja mahusiano Barba Kambogi wakimkabidhi zawadi ya kingg'amuzi kipya aina ya Explorer bwana Bernad Mukasa