Nwenyekiti wa kata ya Kivukoni na Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya na Mwenyekiti Halmashauri Mkoa Henry Masamba, akiongea na wanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM) katika Hafla ya kuwapongeza wabunge wa chama hicho ,Ridhiwani Kikwete na Godfrey Mgimwa katika kata ya Pamba ya Kivukoni Jijini Dar es Salaam leo kushoto ni katibu wa Wazazi Wilaya ya Ilala Lugano Mwafongo ,mwenye kita mbaa kichwani (kulia) ni katibu Shina kata ya Pamba na kulia kwake ni Mwenyekiti wa kata hiyo Ramadhani Makula, (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmilliki wa www.ujijirahaa.blogspot.com
ukurasa wa ujijirahaa
Katibu wa Shina kushoto Sophia Mbunille,akifura hia jambo wakati wa hafla ya kuwapongeza wabunge wa chama hicho ambao waliwakilishwa na Katibu wa wazazi wilaya ya Ilala Lugano Mwafongo.
Sehemu ya wananchi wakisikiliza kwa umakini
Sehemu ya wananchi wakisikiliza kwa umakini na wengine kusitisha biashara zao kwamuda kwa kufatilia mambo yanayo zungumzwa katika hafla hiyo
Baadhi ya wanachama wakiwa katika umakini
Baadhi ya wajumbe wakipiga makofi kwaishara ya kufurahia jambo,(kushoto) ni mjumbe wakata ya Pamba Hadija Abdul Azizi na anaye fuata ni Mjumbe kata ya Pamba ,Elizabeth John Lutiga na wengine wajumbe
Mjumbe wa baraza la Wilaya Gongolamboto (UVCCM) Eugen Masswe akimpatia sh. Elfu Hamsini Mc Endru Mwakasala , akiwalipia wanachama 500 watakao jiunga na chama hicho ,ambapo leo wamejiunga wanachama 20 kwakupita chama cha Mapinduzi (CCM)
Mgeni rasmi atika Hafla hiyo, katibu wa Wazazi Wilaya ya Ilala Lugano Mwafongo ,akongea na wanachama kabla ya kukabidhi kadi kwa wana chama 20 wanao tarajiwa kujiunga na chama hicho leo
katibu wa Wazazi Wilaya ya Ilala Lugano Mwafongo ,akikabidhi kadi kwa wanachama 20 walio jiunga na chama cha Mapinduzi CCM
katibu wa Wazazi Wilaya ya Ilala Lugano Mwafongo ,akikabidhi kadi yenye namba AF.5535149 kwa Hadija Abdul Azizi katibu wa Wazazi Wilaya ya Ilala Lugano Mwafongo ,akikabidhi kadi yenye namba AF.555143 kwa Zaituni Kembo
Wanachama walio jiunga na chama hicho wakila kiapo ,
Sehemu ya viongozi wakila kiapo
Viongozi wachama hicho wakiwa wanaapa
wananchi wanachama walio jiunga zamani na wao wakishiriki kiapo
Baada ya kiapo ,wakiwa wana furahia kwamziki ukio kua ukiwaburudisha
Sebene kwasana
wanachama katika picha ya pamoja
Kaanda wa Vijana kaya ya Kivukoni Shamil Choughule( kulia ) akimpongeza Mbunge Ridhiwani ,ambaye amepokelewa Uwa na Katibu wa Shina kushoto Sophia Mbunille akiwa na mkewake katikati Asma Chougule