Wakimbiaji wakitimua vumbi katika mashindano ya Bagamoyo Historical Marathon, mjini Bagamoyo, Pwani jana. Mashindano hayo yaliandaliwa na Kampuni ya 4Beli.
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda (katikati) akihutubia wakati akifungunga mashindano ya Bagamoyo Marathon mjini Bagamoyo jana
Washiriki wa Bagamoyo Marathon 2014 mara baada ya kumaliza mbio hizo ambazo kwa wanariadha wengine walikuwa bado wanawasili.
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda (katikati) akimpongeza mshindi wa mbio za kilomita 21 wanaume, Ismail Juma. Wengine ni baadhi ya washindi na viongozi wa Kampuni ya 4Beli iliyoratibu mashindano hayo ya Bagamoyo Marathon 2014. Chanzo : Matukio tz
Mwakilishi wa Kampuni ya 4Beli akitoa zawadi kwa mmoja wa washiriki wa mashindano.
Mwakilishi kutoka Benki ya Posta Tanzania (TPB) ambao walikuwa mmoja wa walidhamini wa mashindano hayo akitoa zawadi kwa washindi.Chanzo : Matukio tz
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda Akikabidhi Zawadi kwa Mshindi
Mwenyekiti wa zamani wa Baraza la Michezo la Taifa Kanali mstaafu Idd Kipingu akimpongeza Mshindi wa Bagamoyo
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda
Picha ya Pamoja ya Washiriki Kutoka Kushoto Eligi Albert,Evance Mosha na Thomas Karia Mara baada ya Kumaliza Mbio za KM 10.Chanzo : Matukio tz