Google PlusRSS FeedEmail

NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO USIKU HUU, MWANANYALA A, DAR ES SALAAM

Pilika za kujaribu kuzimamoto zikifanyika, baada ya nyumba moja kushika moto mida ya saa 3. 30 usiku huu, eneo la mtaa wa Mchangani, CCM, Karibu na Kituo cha Polisi cha Mwinjuma, Mwananyamala A.

Kwa  habari zaidi endelea kufuatilia hapa ..!

This entry was posted in

Leave a Reply