Mkongwe wa Mziki wa Bongo Fleva afande Sele akibadilishana Mawazo na Diamond Platnum "Sukari ya Warembo"
Millard Ayo akipata Ukodak na Mwasiti mkali wa "Mpaito"
Jukwaa la Wasanii wakiimba Hellow Hellow Tanzania.
Hafsa Kazinja akitoa burudani kwa Wakazi wa Dodoma waliofurika Viwanja vya Jamhuri.
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Christina Shusho akiimba kwa ajili ya Tanzania.
Kila Mmoja anasambaza Upendo kwa Mwenzie
Viongozi wakifurahia Kampeni ya NaiaminiaTanzania
Mh.Freeman Mbowe akifurahia Umoja wa Tanzania na Kusapoti kampeni ya "NAIAMINIATANZANIA".
Wasanii wa Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete.
Picha zote kwa hisani ya Sanga Jr.