USILIKOSE COCKTAIL PARTY HILI LA MAANA MJINI
Tiketi zinapatikana- Beauty Point- Mayfair Plaza, Seki land of fashion- opposite Shoppers Plaza, Bang! Magazine office- Mikocheni B- opposite East Africa International school. Kiki shop Oysterbay, Total Bonjour shops- Mlimani City, Morocco, City centre and Mbezi. Au tupigie 0754844578 kupata tiketi yako mapema. Wahi sasa upate tiketi mapema, wakati ni huu.