Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, akifunguza majadiliano kuhusu mazingira yanayochangia kuendenea kwa vitendo vya kigaidi. majadiliano hayo yamefanyika siku ya Jumatano yakitangulia mkutano wa nne utakafanya tathmini kuhusu Mkakati wa Umoja wa Mataifa wa Kudhibidi Ugaidi. Katika salamu zake, Katibu Mkuu amesema hakuna sababu iwayo yoyote ile inayoweza kuhalalisha ugaidi. Kulia kwake ni Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Bw, John Ashe .Wajumbe ukumbini







