Google PlusRSS FeedEmail

BUNGE VS NMB-DODOMA WALIVYOTOANA JASHO(MPIRA WA MIGUU NA MPIRA WA PETE)


Makombe yapotayari kwaajili ya Kukabidhiwa kwa Mshindi Upande wa Mpira wa pete na Mpira wa Miguu kati ya Wafanyakazi wa NMB DODOMA na timu za Bunge za Pete na Mpira wa Miguu.

Mh:Lukuvi akiwa benchi la Ufundi la timu ya Bunge.

Mtanange Unaendelea,Mh:Mwigulu Nchemba akitafuta mpira.



Sehemu ya Mashabiki wa timu zote mbili.
 
Wachezaji wa akiba na Mashabiki wa timu ya NMB wakishangilia Goli la Nne lililofungwa na Mchezaji namba 9 Mgongoni(Hayupo pichani).
 
Baadhi ya wachezaji wa timu ya Mpira wa pete wakiwa wanapumzika baada ya Kuibamiza timu ya Wanawake ya NMB Magoli 46 kwa 6.
 
The Dream Team ya Bunge wakiwa wamebeba ndoo yao.
  
Washindi wa pili upande wa Mpira wa Miguu wakiwa wamevalishwa Medali za Shaba.
 
Mwanamziki wa Kizazi Kipya Mwana FA akiteta jambo na Mh:Mwigulu Nchemba Naibu waziri wa Fedha mara baada ya kumalizika kwa mechi kati ya Wabunge na wafanyakazi wa Bank ya NMB Dodoma Uwanja wa Jamhuri hapa  





Timu ya NMB wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kunyakua kombe. 

Sherehe ndogo ya kuimarisha Mahusiano kati ya NMB na Wateja wake iliyofanyika kwenye  viwanja vya Dodoma Hotel.
Picha na Sanga Jr.

This entry was posted in

Leave a Reply