Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula (kulia) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo yake na Makamu wa Rais wa China Li Yuanchao, leo jijini Dar es Salaam.
Mangula akipa zawadi maalum ya ukumbusho, Makamu huyo wa Rais wa China baada ya mazungumzo yao leo jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula na Makamu wa Rais wa China na ujumbe wao wakiwa wamesimama tayari kuondoka ukumbini baada ya mazungumzo yao leo jijini Dar es Salaam.

Upande wa ujumbe wa CCM wakati wa mazungumzo hayo
Ujumbe wa China kwenye mazungumzo hayo
Mwandishi wa habari wa siku nyingi na mchambuzi wa masuala ya siasa na Uchumi, Makwaia Kuhenga (kulia) akijadili jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar) Vuai Ali Vuai na Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania Abdallah Bulembo wakati wa mazungumzo ya Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara ) Philip Mangula na Makamu wa Rais wa China jijini Dar es Salaam, leo. Aliyeketi kushoto ni Mtaalamu wa ,masuala ya Sayansi ya Jamii, Profesa Max Mmuya. Picha zote na Bashir Nkoromo-CCM Blog