Google PlusRSS FeedEmail

MBUNGE WA MKULANGA AMWAGA MSAADA KWA WAJASILIAMALI

 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani,  Shabani Mandai,(katikati) akishuhudia vijana wake wakiunganisha cherahani, baada ya kupokea msaada wa cherahani 20 kwa ajili ya wajasiliamali na vifaa vya michezo kwa uongozi wa UVCCM Mkulanga juzi.
 Mwakilishi wa Mbunge wa Mkulanga ,Omary Kisigalile (kushoto)akimkabidhi mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mkulanga, Shabani Mandai (kulia) Cherehani 20 zilizotolewa na Mbunge wa jimbo hilo kwa ajili ya Vikundi vya wajasiliamali katika kata mbali mbali za wilaya hiyo. Wanaoshuhudia ni Hemed Freji na Catherin Lukas.
Katibu wa UVCCM  Wilaya ya Mkulanga Hemed Freji(kushoto) na Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mkulanga, Shabani Mandai wakionyesha jezi walizokabidhiwa na mbunge wa Mkulanga iliwa ni ahadi alizotoa mbunge huyo kwa wananchi katika hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo na Cherahani kwa ajili ya wajasiliamali
Mwakilishi wa Mbunge wa Mkulanga ,Omary Kisigalile (kulia)akiwakabidhi viongozi wa UVCCM Wilaya ya Mkulanga, sehemu ya  Cherehani 20 zilizotolewa na Mbunge wa jimbo hilo kwa ajili ya Vikundi vya wajasiliamali katika kata mbali mbali za wilaya hiyo.

This entry was posted in

Leave a Reply