Kamimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya NHIF Khamis Mdee akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari kwenye hoteli ya Oceanic Bay mjini Bagamoyo asubuhi hii wakati wa seina inayojadili masuala mbalimbali yakiwemo mafanikio ya mfuko huo, malengo na Changamoto zake katika kufanikisha huduma ya afya kwa jamii, ambapo uwigo wa walengwa katika huduma hizo umeongezeka kutoka kaya 120 mwaka 2009 na kufikia kaya 668.474 mwaka 2014 sawa na wanufaika milioni 4.01 na mpaka sasa mfuko huo unafanya kazi na Halmashauri za wilaya 129 katika nchi nzima kati ya Halmashauri 168 zilizopo lakini pia tayari Halmashauri 20 kati ya hizo zimeshahamasishwa na zitaingia katika mpango huo siyo muda mrefu, .(PICHA NA KIKOSIKZI CHA FULLSHANGWE-BAGAMOYO) Eugen Mikongoti Mkurugenzi wa Uendeshaji akitoa mada katika semina hiyo juu ya uchangiaji wa huduma za mfuko wa bima ya afya kulia ni Raphael Mwamoto Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti na katikati ni Rehani Athman Kaimu Mkurugenzi wa \mfuko wa afya ya Jamii (CHF) Dk Frank Lekey Mkurugenzi wa Huduma za Tiba na Kitaaluma akitoa mada kuhusu uboreshaji wa huduma za mfuko wa Afya ya jamii ambapo kwa sasa wanafanya kazi na hospitali za serikali na baadhi ya hospitali za mashirika ya dini. Rehani Athman Kaimu Mkurugenzi wa \mfuko wa afya ya Jamii (CHF) akizungumzia mafanikio yaliyokwishapatikana kutokana na huduma za mfuko wa Afya ya jamii John Bwire Mkurugenzi wa kampuni ya Raia Mwema na baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari wakifuatilia mada mbalimbalzinazotolewa katika semina hiyo Kulia ni Mhariri Dany Mwaijega na wenzake wakifuatilia majadiliano ya semina hiyo Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri mtendaji wa New Habari Bw. Absalom Kibanda akizungumza katika semina hiyo inayofanyika mjini Bagamoyo anayefuata ni Abdalla Majura kutoka ABM Radio. Mhariri wa Gazeti la Mawio Jabir Idrissa akitoa mchango wake wakati wa majadiliano katika semina hiyo Kamimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya NHIF Khamis Mdee na viongozi wengine wa mfuko huo wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufunguliwa rasmi mjini Bagamoyo. Wahariri mbalimbali wakibadilishana mawazo mara baada ya kufungua semina hiyo Kulia ni Anna Mhina Katibu Mhutasi na Hawa Diguza Afisa Masoko na Elimu kwa Umma wakiwa katika picha ya pamoja. Kulia ni Anna Mhina Katibu Mhutasi katikati ni Hawa Diguza Afisa Masoko na Elimu kwa Umma na Anna Mziray Meneja wa Msoko na elimu kwa umma wakiwa katika picha ya pamoja.
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
-
▼
2014
(556)
-
▼
June
(94)
- WAZIRI WA MALISILI NA UTALII AZINDUA MAONYESHO YA ...
- BRAVO JOB CENTRE YAPELEKA VIJANA KUMI KUFANYA KAZI...
- RAIS KIKWETE AKUTANA NA WATAALAMU WATATU WA UTAFIT...
- BARAZA LA MITIHANI LAPANGUA MFUMO MZIMA WA KUPANGA...
- MTEMVU: WAPINZANI HATA WAKIUNGANA CCM ITAWABWAGA, ...
- MTEMVU AKAGUA MADHARA YA MOTO SOKO LA KEKO, ATOA POLE
- NHIF YATETA NA WAHARIRI MJINI BAGAMOYO
- TBL KUWAJENGEA KISIMA CHA MAJI CHA SH MIL. 29 WANA...
- CHADEMA KWAWAKA, WAJUMBE WAKE WA BARAZA KUU NA WAN...
- NATIONAL CONSULTATION FOR LOCALIZATION OF THE POST...
- Katika "HUYU NA YULE" ya NJE-NDANI wiki hii......
- FILAMU YA ESPINHO DA ROSA “THE THORN OF THE ROSE” ...
- RAIS KIKWETE ATUA MALABO, EQUTORIAL GUINEA, KUHUDH...
- DAR ES SALAAM KUWA KIVUTIO KIKUBWA CHA WAWEKEZAJI ...
- MANISPAA YA ILALA YASAINI MKATABA WA BILIONI 2.1 K...
- TANZANIA YATAKIWA KUTENGENEZA AJIRA ZA KUTOSHA
- MAKAMAU MWENYEKITI WA CCM TAIFA AFANYA MAZUNGUMZO ...
- MWELEKEO WA HALI YA JOTO NA MVUA KATIKA KIPINDI CH...
- BAGAMOYO HISTORICAL MARATHON 2014 YAWA KIVUTIO
- TAARIFA YA WAJUMBE WA BARAZA KUU, MKUTANO MKUU NA ...
- MAHOJIANO YA KWANZA PRODUCTION NA MKURUGENZI WA MB...
- MBUNGE WA TEMEKE ABBAS MTEMVU ASHIRIKI UJENZI OFIS...
- NAPE AWATAKA WASOMI KUSHAURI KATIKA KUBORESHA SERA...
- WARSHA YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WA HABARI KUH...
- ADY BATISTA WA “THE THORN OF THE ROSE” AKONGA NYOY...
- ABBAS MTEMVU ACHARUKA MAMALISHE KUTIMULIWA BILA UT...
- MEYA WA ILALA MH JERRY SILAA ATEMBELEA NA KUKAGUA ...
- RAS INNOCENT NGANYAGWA AKONGA NYOYO ZA WANZIBARI T...
- STAMICO YAAHIDI NEEMA KWA WACHIMBAJI WADOGO NCHINI
- RAIS KIKWETE AKUSUDIA KUSHUKA CHAKI TENA
- WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA YASHIRIKI MAONYESHO ...
- TFF YAJITOSA NA `PLAN INTERNATIONAL` KUTETEA HAKI ...
- MAREHEMU KAHURANANGA KUZIKWA KESHO IJUMAA, DAR ES ...
- MASHINDANO YA NGALAWA YANOGESHA TAMASHA LA 17 LA Z...
- WOMEN WITH ATTITUDE:SINEMA YENYE LADHA YA SHUGHULI...
- VUAI AUPONGEZA UONGOZI WA TAWI LA CCM DMV MAREKANI...
- JAPAN YATOA SH. BILIONI 24 KUSAIDIA BAJETI YA SERI...
- TAARIFA KWA UMMA: ONYO KUHUSU UTAPELI WA AJIRA KAT...
- MAMA SALMA KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI LA OFISI Y...
- USILIKOSE COCKTAIL PARTY HILI LA MAANA MJINI
- CHAP CHAP 'JIPIGE MWENYEWE'
- MAHOJIANO YA MOJA KWA MOJA NA MSANII ANNA MWALAGHO...
- ZIARA YA NHC NA WAKURUGENZI WA BODI SINGAPORE
- NAPE ALITEKA JIMBO LA UBUNGO ENEO LA KIMARA
- MHESHIMIWA JENISTA MUHAGAMA AKIZUNGUMZA NA VIONGOZ...
- HAKIKISHENI TUNAKUWA NA CHAKULA CHA KUTOSHA DKT. B...
- UN KUZINDUA MFUMO MPYA WA KUHABARISHA UMMA NDANI Y...
- BUNGE VS NMB-DODOMA WALIVYOTOANA JASHO(MPIRA WA MI...
- SAUTI SOL WATIKISA TAMASHA LA ZIFF 2014
- MAHOJIANO YA KWANZA PRODUCTION NA FABIAN LWAMBA WA...
- HACKERS WAIBA AKAUNTI YA FACEBOOK YA MEYA WA ILALA...
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA MAADHIMISHO YA...
- BALOZI SEIF IDD ABARIKI TAMASHA LA 17 LA ZIFF 2014...
- VIONGOZI WA CCM WILAYA YA LUDEWA WATAKIWA KUSHIKAMANA
- NAPE ALIPOHUTUBIA WANA CCM WA TAWI LA SAUT KAMBARA...
- TAMASHA LA "NAIAMINIA-TANZANIA" DODOMA
- DEO FILIKUNJOMBE AANDAA SEMINA KWA VIONGOZI WA CCM...
- SHAMRA SHAMRA ZA UFUNGUZI WA ZIFF 2014 NDANI NGOME...
- MINING COMPANIES ARE NOT TAX CHEATS
- NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO USIKU HUU, MWANANYALA A,...
- MTEMVU ATOA MISAADA YA VIFAA VYA MICHEZO NA FEDHA ...
- NHC YAVUTIA WAWEKEZAJI MAONYESHO YA NYUMBA DUBAI, ...
- WAZIRI: TUWAEPUSHE VIJANA WETU NA UHAFIDHINA
- SOKO LA MACHINGA KARUME LATEKETEA KWA MOTO
- RAIS KIKWETE ATEUA MANAIBU BALOZI WAWILI
- TRL YASIMAMISHA KWA MUDA HUDUMA ZA USAFURI WA TREN...
- MWENYEKITI WA CHADEMA AHAMIA CCM IRINGA
- MAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KWENYE TAMASHA LA K...
- DK. ASHA-ROSE: HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA WA SHER...
- TWAWEZA YATUNUKU TUZO WAANDISHI 37 KWA MAONI YAO K...
- JUMUIYA YA WAZAZI (CCM) WILAYA YA ILALA WAIPONGEZA...
- INDIAN FOOD FESTIVAL
- DK. ASHA-ROSE MIGIRO ATINGA KWA KISHINDO OFISI ZA ...
- BALOZI MPYA WA MAREKANI AJITAMBULISHA KWA MAKAMU ...
- RAIS KIKWETE AHANI MISIBA YA KANALI MSTAAFU ALI MW...
- KATIBU MKUU WA CCM, KINANA AKUTANA NA BALOZI WA UI...
- AJALI YA GARI KIBAIGWA, MWIGULI ASAIDIA KUOKOA
- MBUNGE WA MKULANGA AMWAGA MSAADA KWA WAJASILIAMALI
- KASI YA NAPE YAMPATA RAIS WA WANAFUNZI SAUT PAMOJA...
- NAPE APOKELEWA KISHUJAA NA WANACHAMA WA CCM SAUT M...
- VIONGOZI WA TAWI LA CCM SAUT MWANZA WATATHMINI MIA...
- WASOMI WATAKIWA KUCHANGIA MAWAZO YAO KATIKA KUKUZA...
- RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI MWANDAMIZI WA MAMBO...
- RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA M...
- BAN KI MOON AZINDUA MWONGO WA NISHATI KWA WOTE (20...
- KINANA ASHUHUDIA MCHIMBAJI MDOGO WA TANZANITE ANAV...
- CHRISTOPHER OLE SENDEKA AKIHUTUBIA WAKAZI WA MERER...
- TAASISI YA FARIDA FOUNDATION KUFANYA UZINDUZI SIKU...
- KINANA AITEKA MERERANI KWA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA
- MWILI WA MAMA YAKE ZITO KABWE WASAFIRISHWA KWENDA ...
- OLE SENDEKA: WANANCHI WA SIMANJIRO KULINDA ARDHI Y...
- MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE AFARIKI DUNIA
- KINANA AWASILI WILAYA YA SIMANJIRO
- SERIKALI YATOA ZAIDI YA SHILINGI 6.7 BILIONI KUJEN...
-
▼
June
(94)
LOVE LINKS
Powered by Blogger.