Mkurugenzi wa Utawala Wizara ya Viwanda na Biashara Bi. Mary Mwangisa wa tatu kutoka kulia na Fredy Mndewa Kaimu Mkurugenzi wa Manunuzi na Ugavi kushoto wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maofisa wanaohudumia katika banda hilo. Edward Nkomola Afisa habari wa Wizara ya Viwanda na Biashara akiandika ripoti ya Maonyesho hayo kulia ni Debora Mofati Afisa Tawala wa Wizara hiyo na kushoto ni Kamala Gombe Afisa Viwanda na Biashara.
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Viwanda na Biashara Bw. Thomas Mushi akizungumza na mwandishi wa habari wa Magaziti ya Serikali TSN Bi. Lucy Lyatuu aliyetembelea katika banda hilo.
Baadhi ya maafisa wakiendelea na shughuli zao katika banda hilo la Wizara ya Viwanda na Biashara.