Google PlusRSS FeedEmail

BHAA ACHUKUA FOMU ZA UWAKILISHI JIMBO LA BUBUBU.

MSIMAMIZI wa Uchaguzi mdogo Jimbo la Bububu, Ali Rashid Suluhu akimkabidhi fomu mgombea Uwakilishi katika jimbo hilo kupitia chama cha Mapinduzi, Hussein Ibrahim Makungu (Bhaa) wakati mgombea huyo alipokwenda kuchukua fomu katika ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Wilaya ya Magharibi zilizopo Maisara mjini Unguja.(Picha na Haroub Hussein).

MGOMBEA Uwakilishi Jimbo la Bububu kupitia CCM, Hussein Ibrahim Makungu (Bhaa) akionesha fomu ya kugombea uwakilishi katika Jimbo hilo nje ya ofisi za Tume ya Uchaguzi (ZEC) Wilaya ya Magharibi zilizopo Maisara mjini Unguja.(Picha na Haroub Hussein).

MGOMBEA Uwakilishi Jimbo la Bububu kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Hussein Ibrahim Makungu (Bhaa) akionesha fomu za kugombea Uwakilishi katika jimbo hilo akitoka katika ofisi za tume Maisara kulia kwake,Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Magharib ,Yussuf Mohammed na Mbunge wa Bububu, Juma Sururu wakiwa na wanachama wengine wa CCM.(Picha na Haroub Hussein).

This entry was posted in

Leave a Reply