Google PlusRSS FeedEmail

NAPE AFUTURISHA WAJUMBE WA NYUMBA KUMI MOROGORO

 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akikaribishwa na Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Six Mapunda na Kada wa CCM na Hassan Bantu (kulia) alipowasili kwenye ukumbi wa shule ya sekondari ya Forest ambako aliandaa futari kwa ajili ya mabalozi wa nyumba kumi na baadhi ya viongozi wa CCM kutoka wilaya za mkoa wa Morogoro jioni hii ya leo Agosti 17, 2012.
 Nape akizungumza na waalikwa kwenye futari hiyo
 Nape akizungumza huku waalikwa wakimsikiliza kwa makini
 Sheikh  Khamis Ali Mbilikila akisoma dua baada ya futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
 Nape akishiri na waalikwa kupokea dua
 kina mama wakipokea duna
 Kina baba wakipokea dua
Nape, Bendera na Kingu wakiwa wamesimama kwa ajili ya kusalimiana na waalikwa mbalimbali baada ya futru hiyo.
Nape akifurahi na baadhi ya waalikwa waliomsogelea kumshukuru baada ya futru hiyo
Akapata fursa adhimu ya kuonana na Mbunge wa zamani katika mkoa huo wa Morogoro, Semindu Pawa
Nape akimsalimia mjumbe wa nyumba kumi  Zuberi Fikirini baada ya futru hiyo. Licha ya kwamba Fikirini ni  mlemavu wa miguu lakini ameelezwa kuwa ni mmoja wa wajumbe wa nyumba kumi mkoani Morogoro ambao ni wachapa kazi.
Mapema alipowasili Nape alipowasili akasalimiana kwa bashasha na aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mzee Steven Mashishanga.
Waalikwa wakisali kabla ya futru hiyo
Waalikwa wakifuturu. zaidi wa waalikwa 450 wamehudhuria futru hiyo
Nape akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Morogoro Injinia Kingu wakati futru ikiendelea. Kushoto ni Mzee Mashishanga
Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Sixtus Mapinda na Msaidizi wa  Katibu NEC, Itikadi na Uenezi, Taifa, Okctavian wakifuturu
Mmoja wa waalikwa 'akijisevia' futari
Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Joel Bendera akijinafasi wakati wa futru hiyo
Kina mama wakifuturu
Sixtus akimshukuru Nape kwa niaba ya waalikwa wote kutokana na kuandaa futari hiyo

This entry was posted in

Leave a Reply