Google PlusRSS FeedEmail

Makamu wa Rais Dkt Bilala ahutubia Mkutano mkuu wa 16 wa wakuu wa nchi na serikali zisizofungamana na upande wowote Iran

Makamu wa Rais Dk.Mohammed Gharib Bilali akihutubia Mkutano wa Kumi na Sita wa Wakuu wa Nchi za Siasa ya Kutofungamana na Siasa ya Upande wowote  unaomalizika leo  mjini Teheran, Iran. Katika hotuba yake, pamoja na mambo mengine alisisitiza msimamo wa Tanzania kuendelea kupigania haki, kutetea wanyonge, kupinga ubeberu na ukandamizaji  kote duniani, pia aliiasa Jumuiya ya Kimataifa  kutatua migogoro yote kwa njia ya amani.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

This entry was posted in

Leave a Reply