Google PlusRSS FeedEmail

RAIS KIKWETE AMEWASILI SALAMA MJINI KAMPALA, UGANDA LEO

*RAIS JAKAYA KIKWETE AWASILI KAMPALA NCHINI UGANDA SALAMA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Entebbe,Uganda tayari kuhudhuria mkutano wa siku mbili wa wakuu wa nchi za Maziwa Makuu unaofanyika katika Hoteli ya Speke's Bay, Munyonyo jijini Kampala, Uganda .Picha na Freddy Maro

This entry was posted in

Leave a Reply