Baraza la Vijana Dodoma
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma Antony Mavunde (Kulia) akisalimiana na Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM mkoani humo Mohamed Kapufi walipokutana mkoani Dodoma wakati wa baraza kuu la Umoja huo mkoani Dodoma.