Google PlusRSS FeedEmail

MWILI WA MPIGANAJI ALFRED MBOGORA WASAFIRISHWA LEO

Mamia ya Wanahabari leo walikusanyika  nyumbani kwa marehemu Alfred Mbogora ,kuaga mwili wa mwandishi mwenzao amabye anaaminika ni moja ya wachapakazi wa aina yake, mwili wa marehemu umesafirishwa leo kwenda Musoma kwa mazishi.

This entry was posted in

Leave a Reply