Mwanzo Milinga akiwa na mwanae George wakisimama mbele ya baadhi za kazi nzuri alizofanya.(Photo Exhibition on Pastoralist Maasai) . |
Watu kutoka kila pembe ya dunia walikuwepo kwenye kushuhudia maonyesho hayo. |
Wanafunzi wa Mwanzo Millinga hawakuwa mbali kuchukua matukio. |
Asia Mbwana akiwa kazini Asia ni mmoja wa wadada wachace wenye mapenzi na fani ya kupiga picha. |