Google PlusRSS FeedEmail

KIJANA WA CHAMA ABUBAKAR ASENGA AMTEMBELEA MZEE KITWANA KONDO

Kijana wa Chama Cha Mapinduzi, ambaye pia ni mwenyekiti wa shirikisho la Vyuo Vikuu mkoa wa Dar es SalaamAbubkar Asenga juzi alipata bahati ya kumjulia hali mzee wetu Kitwana Kondo, Mzee wetu anawaombea kila la heri vijana wote wa CCM na Watanzania kwa ujumla katika kuijenga CCM.Mzee Kitwana aliwahi  kuwa Meya wa Jiji na mbunge wa Kigamboni,mwenyezi ampe kila la heri

This entry was posted in

Leave a Reply