Google PlusRSS FeedEmail

MATUKIO YA ZIARA YA UJUMBE WA NGAZI YA JUU YA CCM NCHINI CHINA

  • Ziara ya Kirafiki
  • Mkutano wa Pili wa "Africa-China Young Leaders Forum" uliofanyika Beijing- China
Mh.Pius Msekwa ,Makamu Mwenyekiti CCM (Bara) akitoa salaam zake na za CCM katika mkutano wa pili wa Africa-China Young Leaders forum "uliofanyikia Beijing-China,tarehe 18-20/06/2012
.Ndg.Martine Shigela,Katibu Mkuu wa UVCCM akichangia mada katika Mkutano wa Pili wa "Africa-China Young Leaders forum" uliofanyika Beijing-China ,tarehe 18-20/06/2012
Mh.Pius Msekwa akifuatilia hotuba za viongozi  wakuu walioalikwa kwenye mkutano wa pili wa Africa China Young Leaders Forum,kulia ni Mh. Zhou Chankui ,Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Vijana CPC-China.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

This entry was posted in

Leave a Reply