Google PlusRSS FeedEmail

HARAKATI ZA UCHAGUZI WA CCM WILAYA NA MKOA WA LINDI WAANZA.

Mgombea Uenyekiti wa CCM Wilaya ya Lindi Mjini,Muhsin Rafii Ismail akikabidhiwa fomu ya kuomba ridhaa ya Wanachama wa CCM Wilaya hiyo kumchagua kuwa Mwenyekiti 2012-2017...Anayekabidhi ni Katibu wa CCM -Lindi Mjini,Bw Mohamed Kateva Anayeshuhudia ni Katibu Msaidizi wa CCM Lindi mjini.


Katika heka heka hizo Ngazi ya wilaya Mwenyekiti mtetezi wa nafasi hiyo Bw Manyanya Mohamed Nasib nae amechukua fomu kutetea kiti chake Huku Muhsin Rafii akitupa karata yake kwa Mara ya pili kugombea Nafasi hiyo baada ya Kushindwa katika Uchaguzi wa mwaka 2007.
Naye Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania ambae Pia ni Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Lindi Bwana Ally Mohamed Mtopa amechua fomu kutetea nafasi yake hiyo Mjini Lindi.

Muhsin Rafii Ismail akifika katika Jengo la CCM Mkoa wa Lindi kwa ajili ya kuchukua fomu ya kuomba Uenyekiti wa CCM wilaya ya Lindi Mjini.

This entry was posted in

Leave a Reply