Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akikaribishwa na Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Six Mapunda na Kada wa CCM na Hassan Bantu (kulia) alipowasili kwenye ukumbi wa shule ya sekondari ya Forest ambako aliandaa futari kwa ajili ya mabalozi wa nyumba kumi na baadhi ya viongozi wa CCM kutoka wilaya za mkoa wa Morogoro jioni hii ya leo Agosti 17, 2012.
Nape akizungumza na waalikwa kwenye futari hiyo
Nape akizungumza huku waalikwa wakimsikiliza kwa makini
Sheikh Khamis Ali Mbilikila akisoma dua baada ya futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
Nape akishiri na waalikwa kupokea dua
kina mama wakipokea duna
Kina baba wakipokea dua
Nape, Bendera na Kingu wakiwa wamesimama kwa ajili ya kusalimiana na waalikwa mbalimbali baada ya futru hiyo.
Nape akifurahi na baadhi ya waalikwa waliomsogelea kumshukuru baada ya futru hiyo
Akapata fursa adhimu ya kuonana na Mbunge wa zamani katika mkoa huo wa Morogoro, Semindu Pawa
Nape akimsalimia mjumbe wa nyumba kumi Zuberi Fikirini baada ya futru hiyo. Licha ya kwamba Fikirini ni mlemavu wa miguu lakini ameelezwa kuwa ni mmoja wa wajumbe wa nyumba kumi mkoani Morogoro ambao ni wachapa kazi.
Mapema alipowasili Nape alipowasili akasalimiana kwa bashasha na aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mzee Steven Mashishanga.
Waalikwa wakisali kabla ya futru hiyo
Waalikwa wakifuturu. zaidi wa waalikwa 450 wamehudhuria futru hiyo
Nape akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Morogoro Injinia Kingu wakati futru ikiendelea. Kushoto ni Mzee Mashishanga
Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Sixtus Mapinda na Msaidizi wa Katibu NEC, Itikadi na Uenezi, Taifa, Okctavian wakifuturu
Mmoja wa waalikwa 'akijisevia' futari
Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Joel Bendera akijinafasi wakati wa futru hiyo
Kina mama wakifuturu
Sixtus akimshukuru Nape kwa niaba ya waalikwa wote kutokana na kuandaa futari hiyo
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
-
▼
2012
(476)
-
▼
August
(57)
- ASENGA ASHINDA UJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA MKOA U...
- Makamu wa Rais Dkt Bilala ahutubia Mkutano mkuu wa...
- Aggrey Marealle agombea Ujumbe wa NEC ya CCM.
- Dkt. Mohammed Gharib Bilal Audhuria mkutano Iran.
- DC WA ZAMANI HAWA NGURUME AFARIKI DUNIA
- ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII D...
- CHADEMA WAPATA PIGO MAKETE
- BHAA ACHUKUA FOMU ZA UWAKILISHI JIMBO LA BUBUBU.
- CCM YAIKOMALIZA CHADEMA
- DEREVA ACHUKUA FOMU KUMU KUMVAA MABINA UENYEKITI W...
- RAIS KIKWETE NA FAMILIA YAKE WAHESABIWA KATIKA SEN...
- CHADEMA YAKOSA MVUTO MOROGORO
- DIWANI KATA YA KWADELO AHAMASISHA MAENDELEO KIAINA
- RAIS KIKWETE AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM LEO
- MPANGO WA KASI YA UWEZESHAJI WA WANAWAKE WAZINDULI...
- ABDALLAH BULEMBO AJITOSA KUWANIA UENYEKITI JUMUIYA...
- CCM YAMTEUA NDG HUSSEIN I. MAKUNGU KUGOMBEA BUBUBU.
- DR MWAKYEMBE AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI MKUU WA B...
- HARAKATI ZA UCHAGUZI WA CCM WILAYA NA MKOA WA LIND...
- UMOJA WA VIJANA (UVCCM) WILAYA YA LINDI MJINI WAFA...
- CCM KUKATA RUFANI KUTENGULIWA USHINDI WA MBUNGE WA...
- CCM ARUSHA WAKAMILISHA UCHAGUZI KWA ASILIMIA 90
- CCM YAMSHUKIA DK. SLAA, YAKANUSHA KUINGIZA SILAHA ...
- Tonight - Filamu Lounge presents LUMUMBA at Nafasi...
- MBARONI KWA KUHAMASISHA WANANCHI WASUSIE ZOEZI LA ...
- MWILI WA MPIGANAJI ALFRED MBOGORA WASAFIRISHWA LEO
- EID MUBARAK
- CHADEMA MWANZA SASA WATISHANA KUNG'OANA
- MAJINA YA WAGOMBEA UVCCM "UPDATED"
- KIJANA WA CHAMA ABUBAKAR ASENGA AMTEMBELEA MZEE KI...
- NAPE AFUTURISHA WAJUMBE WA NYUMBA KUMI MOROGORO
- JELA MIAKA 30 KWA KUBAKA MWANAFUNZI, BUNDA
- HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,...
- KIBONZO
- WAZIRI MKUU PINDA ATOA CHANGAMOTO KWA WANAFUNZI KU...
- MAMA SALMA KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA CHANJO
- Baraza la Vijana Dodoma
- CHADEMA WALIVYOUMBUKA UINGEREZA
- ONYESHO LA PICHA ZA MWANZO MILINGA LAFANA MJINI DAR
- RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA ZIMBABWE
- RAIS KIKWETE AMWAPISHA MTENDAJI MKUU NA MSAJILI WA...
- BALOZI MAHALU ASHINDA KESI
- MATUKIO YA ZIARA YA UJUMBE WA NGAZI YA JUU YA CCM...
- RAIS AREJEA NCHI BAADA YA KUMALIZA MKUTANO WA NCHI...
- ORODHA YA WALIOCHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA NAFASI MBAL...
- MAKAMU WA RAIS DKT BILAL ATEMBELEA MABANDA YA MAON...
- RAIS KIKWETE AMEWASILI SALAMA MJINI KAMPALA, UGAND...
- Dk.SHEIN AZINDUA MASHINE YA KUNIA MPUNGA
- RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA SHEKHE MKUU WA K...
- UVCCM 'WAKANYAGANA' KURUDISHA FOMU LEO
- PINK CARAVAN NDANI YA DAR
- CCM DMV WAFUTURISHA
- FOMU ZAANZA KUCHUKULIWA UVCCM
- NGASSA RASMI SIMBA, AKABIDHIWA JEZI NO 16 LEO
- WANAFUNZI 94 WA MT.EVEREST WAPATA KIPAIMARA
- UFUNGUZI WA TAWI LA CCM WASHINGTON, DMV.
- HOTUBA YA MHE. DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA...
-
▼
August
(57)
LOVE LINKS
Powered by Blogger.