Google PlusRSS FeedEmail

93 WAUAWA NA 300 KUJERUHIWA KWA SHAMBULIO LA KIGAIDI YEMEN

WATU 90 wamekufa na wengine zaidi ya 300 kujeruhiwa vibaya katika shambulio la kigaidi lililotokea leo nchini Yemen.
    Kwa mujibu wa kituo cha televisheni cha  Aljazira, shambulio hilo lililenga wanajeshi nchini humo.
    Taarifa zinasema mlipuko huo umetokea baada ya askari mmoja wa Yemen aliyekuwa amesheheni mabomu kujilipua katika eneo la kijeshi.

This entry was posted in

Leave a Reply