Google PlusRSS FeedEmail

RAIS KIKWETE ATEMBELEA SOKO LA HISA LA MITAJI YA MAZAO LA ETHIOPIA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kengele kuashiria mwanzo wa soko katika makao makuu ya za Soko la hisa na Mitaji ya Mazao la Ethiopia leo Mei 10, 2012 alipotembelea na kuelezwa mafanikio ya soko hilo ambapo wakulima wa wakubwa na wa kawaida wanafanya biashara ya mazao kitaifa na kimataifa kwa njia ya kisasa
 Rais Jakaya Kikwete akipewa kikombe cha kahawa baada ya kishuhudia namna kahawa inavyoandaliwa kaisili katika ofisi za Soko la Mitaji na Mazao la Ethiopia leo Mei 10, 2012 alipotembelea na kuelezwa mafanikio ya soko hilo ambapo wakulima wa wakubwa na wa kawaida wanafanya biashara ya mazao kitaifa na kimataifa kwa njia ya masoko ya hisa na mitaji
 Rais Kikwete akishuhudia wachuuzi wakiwa kazini baada ya kufunguliwa kwa soko hilo (Picha na Ikulu)

This entry was posted in

Leave a Reply