Google PlusRSS FeedEmail

VICTORIA FOUNDATION, SUSTAINING IMPACT WASAINI MKATABAct.

Mwenyekiti wa Victoria Foundation, Vicky Kamata (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Sustaining Impact ya Georgia Marekani, Danielle Callaway jana wakisaini mkataba wa Mradi wa Blackboard Tanzania, katika hafla iliyofanyika katika hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.
 Zizfuatazo ni picha za tukio hilo.
 Vicky akaisaini mkataba huo
 Bi Danielle akisaini mkataba huo
 George Obado toka Kenya ambaye ni consultant wa Sustaining Impact na Elisha Ngondo ambaye  ni Makamu Mwenyekiti wa Victoria Foundation nao wakitia saini zao mkataba huo
 George Obado akimkabidhi Vicky mkataba.
 Vicky na Danielle wakipongezana baada ya kusaini mkataba huo
Kisha wakakaa wote katika picha ya pamoja

This entry was posted in

One Response so far.

Leave a Reply