Google PlusRSS FeedEmail

RAIS KIKWETE ATEUA WABUNGE WAPYA WATATU, MBATIA WA NCCR- MAGEUZI NDANI

Wakati Baraza jipya la Mawaziri likizubiriwa kwa hamu, Rais Jakaya Kikwete amewateua Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Sospeter Muhongo na msomi ambaye amewahi kufanya kazi katika ngazi mbalimbali kitaifa na Kimataifa, Janeth Mbene kuwa wabunge.
  Ifuatayo ni taarifa rasmi ya Ikulu iliyotufikia hivi punde.


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116898
              press@ikulu.go.tz             

Fax: 255-22-2113425


PRESIDENT’S OFFICE,
      THE STATE HOUSE,
              P.O. BOX 9120,  
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
 

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wabunge watatu wapya kwa mujibu wa mamlaka ya uteuzi aliyo nayo chini ya Ibara ya 66(i) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wabunge hao wapya ni Profesa Sospeter Muhongo, Bi. Janet Mbene na Bwana James Mbatia.
Uteuzi huo unaanza mara moja.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.

3 Mei, 2012

This entry was posted in

Leave a Reply