Google PlusRSS FeedEmail

KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) CCM CHAFANYIKA LEO DODOMA

 Mwenyekiti wa CCM, Dk. Rais Jakaya Kikwete akiwasili  ukumbini, Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM. Wengine ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa, Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Amani Abeid Karume na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein. Kushoto kabisa ni,  Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakiingia. (Picha zote na Bashir Nkoromo)
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete na viongozi wenzake wakiwa wameketi meza kuu tayari kuanza kikao
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete  akifungua kikao hicho
 Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akitoa maelezo ya utangulizi mwanzoni mwa kikao
 Kikao kikaendelea
 Kabla ya kikao kuanza wajumbe mbalimbali walipata fursa ya kubadilishana mawazo: Katibu Mkuu mstaafu Mzee Yussuf Makamba akiteta jambo na Adam Malimai.
 Wajumbe wa Sekretarieti na viongozi wa ngazi ya juu katika kikao hicho wakisubiri kabla ya kikao kuanza
 Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye akijadiliana jambo na  Wazee Kingunge Ngombale Mwiru na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya CCM Peter Kisumo
 Shamsha Mwangunga akijadili kwa makini jambo na Aisha Kigoda
 Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) John Chiligati na Andrew Chenge wakibadilishana mawazo
 Wajumbe wakaiwa kikaoni
 Wajumbe wakiwa kikaoni
 Chiligati na Waziri Emmanuel Nchimbi wakisalimiana ukumbini
 Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samwel Sitta akisalimia wajumbe ukumbini
 Wajumbe wa NEC wakisalimiana nje ya ukumbi. Kushoto ni Asha Baraka, Meya wa Ilala  Jerry Silaa na Madabiba
 Katibu Mkuu wa UVCCM, Martin Shigella akizungumza nje ya ukumbi na William Kusila na Waziri Maghembe
 Waziri Shamsi Vuai Nahodha akisalimiana na Waziri Mstaafu, Profesa Mwakyusa
 Spika wa Baraza la Wawakilishi Amer Pandu Kificho akisalimiana na Sumaye ukumbini
Harakati za kuingia ukumbini mwanzoni kabisa zilikuwa hivi kama anavyoonekana mzee Kingunge.

This entry was posted in

One Response so far.

  1. well done ccm party,for being so creative by establishing ccm blog,the idea has come at the right time,when the party needs the very modern way of communication like that in order to get the new ideas from its members without biasness for the need of re-shaping the party,according to the needs of times.
    Rgds
    Paul mahondo,
    Royal member of ccm party.

Leave a Reply