Google PlusRSS FeedEmail

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA OFISI YA CCM MAKAO MAKUU YA WILAYA YA BAGAMOYO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Mjumbe wa NEC Taifa, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia wananchi na wanachama wa CCM, baada ya kuzindua rasmi Ofisi Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM ya Wilaya ya Bagamoyo,  Nov 27, 2012. Picha na OMR 

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Mjumbe wa NEC Taifa, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya wanachama wa CCM, baada ya kuzindua rasmi Ofisi Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM ya Wilaya ya Bagamoyo,  Nov 27, 2012. Picha na OMR


This entry was posted in

Leave a Reply