Google PlusRSS FeedEmail

WATUMISHI WA OFISI NDOGO WAKARIBISHA VIONGOZI WA SEKRETARIETI MPYA LEO

Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahaman Kinana,akisalimiana na Katibu wa Mkoa wa Vyuo Vikuu ,Christopher Ngubiagai, leo tarehe 19/11/2012 , Ofisi Ndogo CCM  Lumumba.

Katibu wa Uchumi wa Fedha Mama Zakhia Meghji akipokelewa makao Makuu wa Chama, Ofisi Ndogo Lumumba.

Dk.Asha Rose Migiro,Katibu wa siasa na uhusiano wa kimataifa akipokelewa kwa furaha. CCM Ofisi ndogo Lumumba.

This entry was posted in

Leave a Reply