Google PlusRSS FeedEmail

PICHA ZAIDI ZA ZIARA YA KATIBU MKUU ARUSHA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Sheikh Amr Abeid, baada ya kuvalishwa mavazi ya heshima ya moja ya makabila ya mkoa wa Arusha


 Naibu Waziri wa TAMISEMI, Aggret Mwanri akihutubia kwenye mkutano huo


Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara wa CCM Uwanja wa Sheikh Amri Abeid

 Baadhi ya wananchi wakipigapicha kwa kutumia kamera na simu zao ili kupata kumbukumbu ya matukio mbalimbali  wakati wa mkutano huo


Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM, Khamis Sadifa Juma. akizungumza kwenye mkutano wa CCM uliofanyika Sheikh Amri Abeid jijini Arusha


Aliyekuwa diwani wa Chadema, Rehema Mohammed ambaye amehamia CCM, akibubujikwa machozi jukwaani wakati akitangaza kuhamia CCM wakati wa mkutano huo


Maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano huo.


Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akishiriki kucheza 'kiduku' Msanii Malow alipotumbuiza wakati wa mkutano huo.


This entry was posted in

Leave a Reply