Google PlusRSS FeedEmail

BALOZI WA RWANDA, CONGO-DRC WAKUTANA NA KINANA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha ofisini kwake, Balozi wa Rwanda, Dk. Ben Rugangizi aliyemtembelea ofisini kwake, leo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Juma Mpango aliyefika ofini kwa Karibu Mkuu leo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro.(Picha zote na Bashir Nkoromo)

This entry was posted in

Leave a Reply