Google PlusRSS FeedEmail

MANGULA LIVE NA MABALOZI WA NYUMBA KUMI WA KATA 21 ZA ILEMELE NA NYAMAGANA JIJINI MWANZA

KUHUTUBIA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA MIDA YA SAA TISA LEO

 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula akizungumza na wajumbe wa nyumba kumi wa Ilemela na Nyamagana jijini Mwanza, alipokutana nao kwenye Uwanja wa Nyamagana, leo Januari 20, 2013, kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja huo.
Wajumbe wa nyumba kumi wakimsilikiza Mangula alipozungumza nao kwenye Uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza muda huu kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara baadaye kwenye Uwanja huo.
 Wajumbe wa nyumba kumi wa Ilemelea na Nyamagana jijini Mwanza, wakiwa katika foleni kwa ajili ya kumuuliza maswali Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula, alipozungumza nao kwenye Uwanja wa Nyamagana, leo Januari 20, 2013.

This entry was posted in

Leave a Reply