Google PlusRSS FeedEmail

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA HOTELI YA KITALII YA GOLD ZANZIBAR BEACH HOUSE & SPA, MKOA WA KASKAZINI A UNGUJA.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Hoteli ya Kitalii ya Gold Zanzibar Beach House & Spa, iliyopo Mkoa wa Kaskazini A, Unguja, wakati wa hafla ya uzinduzi huo iliyofanyika leo Januari 11, 2013, mjini Unguja. Kulia ni Waziri wa Fedha, Zanzibar, Mhe. Omary Yusuph Mzee, (wa pili kushoto) ni Mkurugenzi wa Hoteli hiyo, Alexandro Azola. Picha na OMR


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, 
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Gold Zanzibar Beach House & Spa, Alexandro Azola (ushoto) wakati alipokuwa akitembelea kukagua maeneo na mazingira ya Hoteli ya hiyo, iliyopo Mkoa wa Kaskazini A, Unguja, wakati wa hafla ya uzinduzi iliyofanyika leo Januari 11, 2013, mjini Unguja. Kulia ni Waziri wa Fedha, Zanzibar, Mhe. Omary Yusuph Mzee. Picha na OMR



This entry was posted in

Leave a Reply