Google PlusRSS FeedEmail

MAKAMU WA RAIS DK.BILAL AHUDHURIA MAZISHI YA MAKAMU WA RAIS ZIMBABWE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akifurahia jambo na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe kwenye Ikulu ya nchi hiyo jijini Harare  baada ya kumaliza  mazungumzo yao.  Makamu wa Rais alimtembelea Rais Mugabe kwa lengo la  kumfariji kutokana na kifo cha Makamu wake Marehemu Dkt. Landa John Nkomo kilichotokea mwanzoni mwa wiki iliyopita.  Dkt. Nkomo   alizikwa jana kwenye Makaburi ya Mashujaa jijini Harare .


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka shada la maua kwenye kaburi la Makamu wa Rais wa Zimbabwe Marehemu Dkt. Landa John Nkomo wakati wa mazishi yake yaliyofanyika jana  kwenye Makaburi ya Mashujaa jijini Harare.
(Picha na OMR)

This entry was posted in

Leave a Reply