Google PlusRSS FeedEmail

SAFARI YA KUELEKEA KIGOMA KWA TRENI LEO

 Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM,Ndg Abdulrahman Kinana akipungia mkono wanachana na wampenzi wa CCM waliokuwa wamewasindikiza Wajumbe wa Sekretarieti ya NEC walioondoka Jijini Dar es Salaam leo kwenda Mkoani Kigoma kwenye Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama Cha Mapinduzi.
 Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro akipungia mkono wanachana na wampenzi wa CCM waliokuwa wamewasindikiza Wajumbe wa Sekretarieti ya NEC walioondoka Jijini Dar es Salaam leo kwenda Mkoani Kigoma kwenye Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama Cha Mapinduzi.
 Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM,Ndg Abdulrahman Kinana akizungumza na wanachana na wampenzi wa CCM waliokuwa wamewasindikiza Wajumbe wa Sekretarieti ya NEC walioondoka Jijini Dar es Salaam leo kwenda Mkoani Kigoma kwenye Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama hicho.Kulia ni Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro na kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam,Ndg. Madabida.

 Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro na baadhi ya Wanachama wa CCM waliokuwa wamewasindikiza Wajumbe wa Sekretarieti ya NEC walioondoka Jijini Dar es Salaam leo kwenda Mkoani Kigoma kwenye Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama Cha  Mapinduzi.
Katibu wa NEC-Oganaizesheni,Dkt. Mohamed Seif Khatibu akipanda treni tayari kwa safari ya kwenda Mkoani Kigoma.
 wanachana na wampenzi wa CCM wakiwashangilia viongozi na Wajumbe wa Sekretarieti ya NEC walioondoka jijini Dar leo.

This entry was posted in

Leave a Reply