Google PlusRSS FeedEmail

BALOZI WA UINGEREZA AMTEMBELEA KINANA

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Uingereza hapa nchini, Diane Corner aliyemtembelea leo, Januari 22, 2013, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. kwa ajili ya  mazungumzo maalum ya kikazi. (Picha na Bashir Nkoromo).



KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na mgeni wake, Balozi wa Uingereza hapa nchini, Diane Corner, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari 22, 2013. Kushoto ni Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro na kulia ni Mkuu wa Mawasiliano na  Siasa wa Ubalozi huo,  Mark Polatajko. (Picha na Bashir Nkoromo).


This entry was posted in

Leave a Reply