Google PlusRSS FeedEmail

JUMA NKAMIA; KUTOKA UTANGAZAJI HADI NAIBU WAZIRI

Ni siku chache tangu Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amuapishe Juma Nkamia kuitumika Serikali yake katika nafasi ya Unaibu Waziri, katika Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, moja ya wizara ambazo ni nyeti na kutokana na kuwa mtambuka katika masuala mengi hasa ya michezo na Maendeleo ya Vijana.

Kwa taaluma, Naibu Waziri Nkamia (Pichani) ni mwanahabari ambaye amesomea na kufanya kazi ya habari kwa kipindi kirefu kabla....Inaendelea>BOFYA HAPA

This entry was posted in

Leave a Reply