Google PlusRSS FeedEmail

ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN NCHINI INDIA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein  alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Watanzania wanaosoma katika vyuo mbali mbali nchini India, jana katika ukumbi wa Hotel ya The Ashok mjini New Delhi, akiwa katika ziara ya kukuza uhusiano na mashirikiano na nchi hiyo. Kulia ni Waziri wa Uwezeshaji,Vijana wanawake na Watoto,  Zainab Omar Mohamed, Mama Mwanamwema Shein, na (kushoto) Balozi wa Tanzania nchini India John Kijazi. Picha nyingine 12 za ziara hiyo>BOFYA HAPA

This entry was posted in

Leave a Reply